Ticker

6/recent/ticker-posts

KUJUA JAMBO JEMA HALAFU HULITENDI NI DHAMBI - Video


 

KUJUA JAMBO JEMA HALAFU HULITENDI NI DHAMBI

Yakobo 4:17 “Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi.”

Kuna aina kuu mbili za dhambi 1. Kufanya yasiyokupasa (sin of commission) kv uzinzi, wizi nk na 2. Kutofanya yanayokupasa (sin of omission) kv kutofanya uanafunzi, kutomtolea Mungu nk.

Jipatie video na audio za kukuandaa katika ushuhudiaji na uanafunzi kwa kuwasiliana nami. Kumbuka hili sio hitaji la dhehebu lako bali ni la kwako binafsi.

Dr Lawi Mshana, 0712-924234; mshanalawi@gmail.com