Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok, Instagram na Youtube.
Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na wadau wengine wa maendeleo katika kujengea uwezo watu binafs, familia na jamii.
Through this platform, www.lawimshana.com, you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically. The platform also connects you with other online platforms, including Facebook, TikTok, Instagram, and YouTube.
Dr. Lawi Mshana is called to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio resources. The ministry primarily serves leaders, entrepreneurs, couples, young people, and vulnerable community members. He works closely with his wife and other development partners to extend this empowerment to individuals, families, and communities.

