I. Gospel Music (Nyimbo za Injili) - Mama Mchungaji Lawi
1. Simu ya Mkononi (Minja Lawi) (Dk 7.53)
2. Watashindana nawe hawataweza (Minja Lawi) (Dk 6.25)
II. Sermons (Mafundisho): Live Sessions - Dr. Lawi Mshana
1. Usimuachie shetani haki zako (6:45)
2. Mateka wanahitaji kurudishwa (13:33)
3. Furahia matunda ya kazi yako (9:49)
4. Mungu atakupigania (12:46)
5. Watapigana nawe lakini hawatakushinda (7:27)
6. Kanuni za kuwa na maendeleo binafsi (16:06)
7. Hatua za maamuzi yenye matokeo mazuri (9:19)
8. Ufanyeje ili ndoto zako ziwe halisi (11:35)
9. Kushinda roho ya chuma ulete (13:31)
10. Kwanini shughuli zako hazina uendelevu (13:13)
11. Kwanini inakuwa vigumu kuoa na kuolewa (10:32)
12. Kwanini u mtumwa wa madeni yasiyolipika? (14:10)
13. Madhara ya kutokuwa na mpango katika maisha (15:25)
14. Njia zisizofaa katika kutatua migogoro ya ndoa (21:39)
15. Tahadhari za maombezi ya faragha (10:11)
16. Mambo muhimu katika mafanikio ya maisha (14:27)
17. Jinsi ya kuwavutia wenye baraka zako (14:16)
18. Maamuzi sahihi ya kifedha (18:05)
19. Kanuni za mafanikio endelevu (12:25)
20. Uongozi wenye matokeo chanya (12:16)
21. Sababu za ugumu wa kupata mwenzi sahihi (26:17)
Tunasaidia watoto, vijana na watu wanaoishi mazingira hatarishi - nguo, mafunzo, malezi.
Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok na Youtube. Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na watumishi mbalimbali. Through this platform (www.lawimshana.com), you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically and connected to other online platforms such as Facebook, TikTok, and YouTube. God has called Dr. Lawi Mshana to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio. The main beneficiaries are leaders, entrepreneurs, couples, young people, and the most vulnerable. He works closely with his wife and other development partners.