Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuwa mjitoleaji (volunteer)

🤝 Fanya Kazi Nasi - Jitolee

Unaweza kuhudumu ukiwa karibu (Korogwe, Ihumwa-Dodoma) au ukiwa mbali kwa njia ya mtandaoni

Uhamasishaji na Utafutaji wa Rasilimali
Huduma kwa Watoto na Vijana
Kutafsiri na Kukalimani
Huduma za Kiroho kulingana na uhitaji
Ukarabati na Matengenezo
Upambaji na Maandalizi ya Kumbi
Uazimaji wa Rasilimali binafsi kwa vipindi vifupi
Upishi na Huduma ya Chakula
Mapokezi na Huduma kwa Wageni
Picha, Video na Uhariri wake
Ujuzi wa Kitaaluma na Kiufundi
Usafirishaji wa watu na raslimali
Usafi na Utunzaji wa Mazingira
Sanaa, Ubunifu na Burudani
Ushauri nasaha na huduma ya kwanza

📋 KANUNI NDOGO

  1. Volunteer anahudumu chini ya Mratibu, si kiongozi.
  2. Wale wa karibu: masaa 2-3 kwa zamu. Wale wa mbali: mtandaoni kulingana na makubaliano.
  3. Ulinzi wa Mtoto ni kwanza - hakuna kupiga picha bila ruhusa.
  4. Wiki ya kwanza ni ya kujifunza.