📖 Chagua Mada Uone Makala
✝️ HUDUMA YA KIKRISTO
Dr. Lawi Mshana - Mchungaji & Mwalimu wa Neno
"Mungu anataka tufanikiwe - 3 Yohana 1:2"
🎯 Kusudi Letu
Kumwinua Mkristo kiroho, kiuchumi na kijamii kupitia Neno la Mungu.
🗓️ Kliniki ya Uponyaji - Mti Mrefu
📚 Soma Makala Kulingana na Mada
🙏 Uliza / Omba Ushauri wa Kikristo
Ushauri wa kiroho kuhusu Utumishi, Ndoa, Uchumba, Malezi na zaidi - Siri yako itahifadhiwa
🔒 Siri na Faragha: Swali litaenda WhatsApp kwangu binafsi tu, si kwa umma. Jibu litawekwa kama somo bila kutaja jina lako kama utapenda.
📚 MTAALA WA WAKATI NA BIBLIA (BibleTime)
Kutoka Shirika la BES, Uingereza - Kwa Makanisa, Shule na Jamii
Vitabu vya A1-A6 + Mwongozo kwa Walimu + Mazoezi ya Wanafunzi
Kwanini Tunahitaji Mtaala Huu?
- Watoto wa umri tofauti huchanganywa pamoja
- Walimu hawana mwongozo wa kufundishia
- Hakuna maswali ya kuchochea udadisi
- Walimu wengi hawajaandaliwa rasmi
- Wachungaji hawajui watoto wanafundishwa nini
Solution: BibleTime inatoa vitabu vinavyojali marika na kuwaandaa walimu kabla ya kufundisha.
📖 SOMA MAELEZO KAMILI YA BIBLETIME → (Bonyeza Hapa)
Tuliomba Shirika la BES kutoka Uingereza litupatie mtaala wa malezi ya watoto kiroho unaoitwa Bibletime. Mtaala huu unafaa kutumika makanisani, mashuleni na katika jamii. Hata makanisa yenye mitaala rasmi yanautumia pamoja na mitaala yao kutokana na ubora wake.
Lengo Letu:
- Huduma ya watoto ipewe kipaumbele
- Makanisa yawekeze katika huduma ya watoto
- Waumini wasomi wahamasike kufundisha watoto
- Makanisa yaimarishe usimamizi wa mafunzo ya watoto
- Walimu waandaliwe vizuri kabla ya jukumu
Dr Lawi Mshana, Whatsapp 0712924234 / 0688986882
💬 Omba Fomu WhatsApp

