Ticker

6/recent/ticker-posts

Kitabu cha KILIO CHA WACHUNGAJI

Jipatie hiki kitabu kinachoshughulikia changamoto za watumishi wa Mungu

KILIO CHA WACHUNGAJI

Dk. Lawi E. Mshana | Toleo la 3 - Machi 2022

YALIYOMO

  • Utangulizi
  • Sura ya 1: Aina za Maumivu ya Wachungaji
  • Sura ya 2: Sababu Kuu za Maumivu ya Wachungaji
  • Sura ya 3: Kuwanusuru Wachungaji kutoka Katika Maumivu
  • Sura ya 4: Maombi kwa Ajili ya Mchungaji na Familia yake
  • Sura ya 5: Matendo ya Kumtia Moyo Mchungaji na Familia yake
  • Sura ya 6: Maswali kwa Ajili ya Mchungaji Kujihoji Kibinafsi
  • Kuhusu Mwandishi

UTANGULIZI

Usiku wa tarehe 26 Julai 2011, niliona katika maono wachungaji wawili wakijadiliana kuhusu mkutano wa kanisa lao. Mmoja akamwambia mwenzake, ‘Twende tu huo mkutano ingawa hatuhitajiki’. Mara nikasikia sauti ikiniambia, ‘Andika kitabu kuhusu KILIO CHA WACHUNGAJI’.

Maono haya yanathibitisha kwamba wachungaji hawathaminiwi hivyo wanajilazimisha tu kushiriki mikutano inayoandaliwa na viongozi wao. Hata hivyo, Mungu ameona kilio chao ndiyo maana akaniagiza niandike kitabu hiki.

Mchungaji nitakayemzungumzia ni mtu yeyote ambaye anachunga kundi la waumini wa Kikristo bila kujali wadhifa - mchungaji, mtume, nabii, mwalimu, mwinjilisti, kasisi, padre, katekista, mtumishi na mzee wa kanisa.

Kitabu hiki kitakufundisha:
✅ Kwa nini wachungaji wanalia kimya kimya
✅ Jinsi ya kuwaunga mkono wachungaji wako
✅ Maombi maalum kwa ajili ya mchungaji na familia yake
✅ Matendo ya kumtia moyo mchungaji

PAKUA KITABU - KILIO CHA WACHUNGAJI

TZS 6,000/=

Lipia M-Pesa: 0754 653 217 (Lawi Mshana)

Hatua 2 tu:
1. Lipia TZS 6,000 kwenda 0754653217
2. Bonyeza hapa chini kutuma uthibitisho WhatsApp
💬 NIMELIPIA - TUMA WHATSAPP SASA

Ukituma WhatsApp kwenda 0712924234, nitakutumia link ya kupakua PDF ndani ya dakika 5.

Haki miliki © Lawi Mshana, 2022 | S.L.P 554 Korogwe | Tel: 0712 924234 / 0754 653217 | www.lawimshana.com