Video: Kipindi cha Kliniki ya Uponyaji kinaendelea
The lady brought her son and was surprised that she had more problems
(Mwanamke
alimleta mwanae akashangaa kwamba ana matatizo zaidi yake)
We continue with the Healing
Clinic session which is held at a different time than the regular worship time.
This session requires the client to be disciplined and come consistently to be
prayed for. Even when the problem goes away we must ensure it does not return
by destroying demonic altars and closing the doors that the devil uses to
torment the person.
This is your time to be set
free.
NB: For more information,
please visit our website (www.lawimshana.com). The link is available in my
profile here.
Tunaendelea na kipindi cha
Kliniki ya Uponyaji ambacho kinafanyika muda tofauti na muda wa ibada za
kawaida. Kipindi hiki kinahitaji mgonjwa awe na nidhamu ya kuja kwa mfululizo
ili kuombewa. Hata pale tatizo linapoondoka lazima tuhakikishe halirudi tena
kwa kubomoa madhabahu za shetani na kufunga milango anayotumia shetani kumtesa.
Huu ni wakati wako wa kuwekwa
huru.
Dr. Lawi Mshana, 0712924234,
Korogwe, Tanga, Tanzania.
Please
send your love gift to support this ministry (Tafadhali tuma sadaka yako ya upendo ili kuendeleza huduma hii). +255 712924234 or CRDB Bank; Account
Name: Lawi E. Mshana;
Account Number: 0152219784300; Swift Code: CORUTZTZ