Husband's habit of beating his wife and bad table manners
(Mazoea ya kupiga mke na tabia mbaya mezani)
Some people beat their wives because of the system. In some clans or tribes, it is normal for a husband to beat his wife. This kind of person, even if he is saved, may see it as normal to beat his wife. He does not see it as a sin, but rather as a system of life. If you are used to a certain lifestyle, you will not change even if you are saved until you make a decision.
Mazoea ya kupiga mke na tabia mbaya mezani
Baadhi ya watu wanapiga wake zao kwa sababu ya mfumo. Zipo koo au makabila ambayo ni jambo la kawaida mume kupiga mke wake. Mtu wa aina hii hata akiokoka anaweza kuona ni kawaida kupiga mke. Haoni kama anatenda dhambi bali anaona kama ni mfumo tu wa maisha. Kama umezoea mfumo fulani wa maisha hutabadilika hata kama utaokoka mpaka utakapofanya maamuzi.
Dr. Lawi Mshana, Facilitator and Mentor, +255712924234, Tanzania