Ticker

6/recent/ticker-posts

Maonyo kwa wanaotumia vibaya madaraka

 Maono ya usiku wa leo:

Kuna viongozi wanawapa watu ambao hawaziwezi kazi ilhali wapo wanaozijua vizuri kazi hizo. Matokeo yake kazi inaharibiwa na kufanyika tofauti na ilivyotakiwa. Kama hawatatubu na kubadilika Mungu atawaondoa katika nafasi hizo na kuwapa wengine ambao watatenda haki bila kuingiza maslahi binafsi.