Ticker

6/recent/ticker-posts

TATHMINI IMEANZA RASMI HAPA DODOMA





TATHMINI IMEANZA RASMI HAPA DODOMA
Kwa hizi siku mbili tumepata ushirikiano mkubwa sana katika mahojiano kutoka kwa viongozi wa dini, wanafunzi, walimu, vijana (bodaboda na mafundi seremala) na wazazi kutoka maeneo mbalimbali. Wamekuwa tayari kutoa muda wao na kusimamisha kazi zao ili kutoa maoni yao. Mungu atawakumbuka kwa utayari huo.
Beyond Four Walls