Ticker

6/recent/ticker-posts

TATHMINI INAENDELEA VIZURI JIJINI DODOMA



 TATHMINI INAENDELEA VIZURI JIJINI DODOMA

Tumefanikiwa pia kufikia wanafunzi na walimu wa shule ya sekondari pamoja na wazazi na vijana ambao hawasomi (out-of-school youth). Taasisi za dini zimekuwa tayari kualika madhehebu jirani na kutoa majengo yao yatumike kwa ajili ya zoezi hili.