SHULE BINAFSI PIA ZIMETUPA USHIRIKIANO MKUBWA KATIKA TATHMINI
Leo tumefanya tathmini kwa wanafunzi na walimu wa shule
binafsi baada ya kumaliza kufanya tathmini katika shule za umma. Tunashukuru
sana kwamba tathmini yetu imegusa makundi yote muhimu.
Dr Lawi Mshana


