WENGI TUNAODHANI WAMEANGUKA, HAWAJAWAHI KUSIMAMA (Bofya hapa uangalie video)
WENGI
TUNAODHANI WAMEANGUKA, HAWAJAWAHI KUSIMAMA
Unajua mtu anaweza kuwa na kipaji cha kuzaliwa lakini sio karama ya Roho Mtakatifu? Unajua uchawi wa kilokole (charismatic witchcraft) uliojipenyeza makanisani? Unajua kuna watu wanamtumikia Mungu lakini wametawaliwa na dhambi? Fuatilia ujumbe huu na kuufanyia kazi.
Dr Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania

