MAISHA YAKO NI MATOKEO YA MBEGU ILIYOPANDWA (Bofya hapa uangalie video)
MAISHA
YAKO NI MATOKEO YA MBEGU ILIYOPANDWA
Unajua
unachopanda kiwe ni chema au kibaya lazima utakivuna hata kama ni kwa kuchelewa?
Unajua wazazi wamebeba laana na baraka zako na Mungu aliwaingiza katika amri
zake 10? Unajua laana za vizazi (generational curses) zilichangia kumzuia Musa
kuingia Kanani? Unajua Danieli na wenzake (wacha Mungu) walichukuliwa
uhamishoni (utumwani) sababu ya dhambi za baba zao? Fuatilia ujumbe huu ili
pando asilopanda Mungu katika maisha yako ling’olewe!
Dr
Lawi Mshana, +255712-924234

