Ticker

6/recent/ticker-posts

Faida za kuwa mfuasi wa Blog hii

1. Utapata Makala zikiwa katika MAKUNDI kv huduma za jamii (makala 43), mafanikio (64), mahusiano (19), uponyaji na ukombozi (34), afya (10), ndoa (10) nk.

2. Utapata orodha ya mafunzo yanayopatikana kwa njia ya vitabu, audio na video.

3. Utaweza kuniuliza swali KIBINAFSI au kutoa maoni na ushuhuda wako.

4. Utaweza kubofya sehemu iliyoandikwa Translate ambapo utatafsiriwa masomo kwa lugha unayotaka.

5. Utaweza kupakua (download) App yangu ili iwe rahisi zaidi kujifunza kupitia simujanja.

6. Utatumia hii Blog kama maktaba kwa ajili ya kuandaa masomo mbalimbali (ili mradi usitumie makala hizi kibiashara bila ruhusa kwa maandishi).

Karibu sana na kumbuka ku-FOLLOW hii blog! Na pale unapojaliwa usisahau kutoa sadaka ya upendo ili huduma hii iendelee kuwafikia wengine bila gharama.

Dr. Lawi Mshana, +255712-924234 (simu na wasap)