Je wewe ni kijana uliyeokoka ambaye ni dereva wa bajaji?
Tunahitaji kijana it aliyeokoka na anayependa kumtumikia Mungu
mwenye leseni na uzoefu wa kuendesha bajaji. Umri kati ya miaka 20 hadi 30,
raia wa Tanzania na aliye tayari kuhamia Korogwe, Tanga.
0712-924234