VIDEO: POKEA BARAKA ZAKO ZA MWAKA MPYA
POKEA BARAKA ZAKO ZA MWAKA MPYA
Mungu anataka kufanya mambo mapya katika maisha yako mwaka
huu. Naomba Mungu akupe mwanzo mpya, akufungulie milango mikubwa, fursa mpya ambazo
ulikuwa hujaziona zifunguke mbele yako na aachilie baraka na upenyo wa kipekee
katika maisha yako ya kiroho, kihuduma na kijamii, na akupe marafiki wapya
wanaoaminika zaidi wa kukusaidia kwenda hatua nyingine zaidi katika maisha
yako.
Sikiliza wimbo wa kwaya yetu ya Golgotha Singers wa
kumshukuru Mungu.
Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania