Ticker

6/recent/ticker-posts

4. Know the importance of favor in being successful in life (Tambua umuhimu wa kibali katika mafanikio)

 

4. Know the importance of favor in being successful in life

(Tambua umuhimu wa kibali katika mafanikio)

Eph 2:8 “For by grace you have been saved through faith, and that not of yourselves; it is the gift of God.” The word 'grace' is similar to the word 'favor.' God's favor is the power that changes things for us. Things that are challenges to others can be opportunities for you. Those people who seem cruel to others may care about you. When God favors you, you have no reason to fight with people. God himself is going to change them.

Efe 2:8 “Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu.” Neno ‘neema’ linafanana na neno ‘kibali.’ Kibali cha Mungu ni uwezo unaobadilisha vitu kwa ajili yetu. Yale mambo yanayoonekana ni changamoto kwa wengine kwako yanaweza kuwa ni fursa. Wale watu wanaoonekana wakatili kwa wengine wanaweza kukujali wewe. Mungu anapokupa kibali huna sababu ya kupambana na watu. Mungu mwenyewe anakwenda kuwabadilisha.

Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania