Video: Jipatie Kitabupepe cha Mbinu za Kushinda Utegemezi na Umasikini
MBINU ZA KIROHO NA KIUCHUMI ZA
KUSHINDA UTEGEMEZI NA UMASIKINI
Hakimiliki ©
Lawi E. Mshana 2022
Haki zote
zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapa, kutafsiri wala kukitoa
kitabu hiki kwa namna yoyote bila idhini ya mwandishi.
Toleo la kwanza,
Machi 2022
Dr Lawi E.
Mshana
S.L.P. 554,
Korogwe, Tanga, Tanzania
Tel: +255 712
924234; 754 653217
Email: mshanalawi@gmail.com / Social
media: mshanalawi
Sura ya 1: Jinsi ya Kuitumia Imani katika
Kufanikiwa Kimaisha
Sura ya 2: Sababu Zinazowafanya Watu kuwa Tegemezi
wa Misaada (Ombaomba)
Sura ya 3: Jinsi ya Kushinda Utumwa wa Madeni
Sura ya 4: Sababu za Watu Kushindwa Kurejesha
Mikopo kwa Marafiki
Sura ya 5: Jinsi ya Kutambua Raslimali Zilizopo na
Mtaji Ulio nao ili Umiliki
Sura ya 6: Jinsi ya Kushughulikia Mambo
Yanayohujumu Mustakabali wa Maisha Yako
Sura ya 7: Jinsi ya Kukabiliana na Roho Zinazozuia
Maendeleo
Sura ya 8: Jinsi ya Kumtolea Mungu kama
Inavyotakiwa
Sura ya 9: Kutokiuka Kanuni za
Kiroho kuhusu Mafanikio
Sura ya 10: Kutambua Visababishi Vikuu vya Kushindwa Maisha
UTANGULIZI
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa waumini na wasioamini kuishi kwa madeni. Hii inatokana na ukweli kwamba tumeamua imani ifanye kazi ibadani tu na sio katika maeneo yote ya maisha. Tumeamua KUHUBIRI imani lakini hatuko tayari KUISHI kwa imani. Biblia inasema, ‘Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani’ (Rum 1:17).
...Nunua kitabu hiki kwa Tsh 5,000 ambapo utakisoma kwenye simujanja kikiwa na maandishi makubwa yasiyoumiza macho.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, Tanzania
Please send your love gift to support this ministry. +255 712924234
or CRDB Bank; Account Name: Lawi E. Mshana; Account Number: 0152219784300; Swift Code: CORUTZTZ