(CHANGIA WASIOJIWEZA KWA VITU USIVYOVITUMIA KWA SASA)
A young woman from Dar has donated her clothes to the needy. This initiative encourages citizens to remember that even if we have needs, we also have something to share. Let's not let strangers who send second-hand goods to help the community take these blessings away.
Beyond Four Walls’ mission is to empower the community to overcome vulnerability, poverty, and dependency using participatory development approaches.
Welcome.
CHANGIA WASIOJIWEZA KWA VITU USIVYOVITUMIA KWA SASA
Dada kutoka Dar ametuma nguo zake kama mchango kwa ajili ya wasiojiweza. Mpango huu ni wa kuhamasisha wananchi kwamba hata kama tuna mahitaji, hata sisi tuna kitu cha kuwagawia wahitaji. Tusiache baraka hizi zichukuliwe na wageni wanaotuma mitumba kwa ajili ya kusaidia jamii.
Dhima ya shirika letu la Beyond Four Walls ni kujengea uwezo jamii ishinde uhatarishi, umaskini na utegemezi kwa kutumia mbinu shirikishi za maendeleo.
Karibu sana.
Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)