Video link: MAADHIMISHO YA KANISA LA TLMC KOROGWE, TANGA - Utambulisho
TLMC CHURCH 31ST ANNIVERSARY KOROGWE, TANGA - Introduction
We thank God for enabling us to carry out His work for 31 years in partnership with churches, NGOs, government, and the community. Through this center, we have been able to reach almost all regions of Tanzania, as well as some countries, including Malawi, Zambia, Ethiopia, and Burundi.
We thank all of you who gave your time and resources in partnering with us in this important event.
May God bless you abundantly.
MAADHIMISHO YA KANISA LA TLMC KOROGWE, TANGA - Utambulisho
Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufanya kazi yake kwa miaka 31 tukishirikiana na makanisa, mashirika yasiyo ya kiserikali, serikali na jamii. Kupitia kituo hiki tumeweza kufikia takriban mikoa yote ya Tanzania na baadhi ya nchi kama vile Malawi, Zambia, Ethiopia na Burundi.
Tunawashukuru wote mliotoa muda wenu na raslimali zenu katika kushirikiana nasi katika tukio hili muhimu.
Mungu awabariki sana.
Dkt. Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania


