NEW PARTNERS FOR OUR SERVICES (WADAU WAPYA WA HUDUMA ZETU)
We have received second-hand clothes from Dar es Salaam to help people living in vulnerable situations. We partner with the government to identify individuals in need of support and capacity building, and then reach out to them. You are very welcome to support us in this service by donating your items that you currently do not use but still have value.
WADAU WAPYA WA HUDUMA ZETU
Tumepokea nguo kutoka Dar kwa ajili ya kusaidia watu wanaoishi mazingira hatarishi. Tunashirikiana na serikali kutambua watu wenye uhitaji wa misaada na kujengewa uwezo na kisha kuwafikia. Karibu sana utuunge mkono katika huduma hii kwa kutoa vitu vyako ambavyo kwa sasa huvitumii ingawa bado vina thamani.
Lawi Mshana, Beyond Four Walls, 0712-924234, Tanzania


