Watu wa Beroya walikuwa waungwana kwa kuchambua mambo ya kiroho kabla ya kuyatekeleza. Matendo ya Mitume 17:11 "Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa uelekevu wa moyo, wakayachunguza maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo."
Makala hizo ziko katika mfumo wa PDF na unaweza kutumiwa kwa Wasap.
Pia unaweza kujisomea kupitia viungo hivi:
1. Krismasi
2. Pasaka
3. Mwaka mpya
Andika kupitia namba hii ya Wasap: 0688-986882. Jitambulishe jina, na mahali ulipo.
KARIBU SANA!


