An invitation to become a partner of our ministries for the year 2026
You are welcome to donate any amount to reach students in schools, youth, and parents in the community, and religious leaders in 2026.
We empower the community to overcome vulnerability, poverty, and dependency using participatory development approaches.
Mwaliko wa kuwa rafiki wa huduma zetu kwa mwaka 2026
Tunakualika kuchangia chochote kwa ajili ya kuwafikia wanafunzi mashuleni, vijana na wazazi mtaani na viongozi wa dini katika mwaka 2026.
Tunajengea uwezo jamii ishinde uhatarishi, umaskini na utegemezi kwa kutumia mbinu shirikishi za maendeleo.
Dr Lawi Mshana, Beyond Four Walls, Tanzania, +255-712924234


