Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatua za kukuwezesha kufikia hatima yako Na. 7: Una tabia gani? (Steps to achieve your destiny No. 7: What is your character?)

Video link: Na. 7: Una tabia gani?

Hatua za kukuwezesha kufikia hatima yako Na. 7: Una tabia gani? (Steps to achieve your destiny No. 7: What is your character?)

Titus 2:3 “Likewise, the older women are to be in holy behavior, not slanderers, not given to much wine, teachers of what is good.” Having certain habits over time creates character. You need to have good character to infect others. The Bible asks us to imitate faith after being satisfied with the character of ministers. Hebrews 13:7 “Remember those who have the lead among you, who spoke the word of God to you; and considering the outcome of their conduct, imitate their faith.” One of the characters is being punctual. If you are punctual, you can get more done in a day. You must have a deadline to complete your tasks. Seek to possess a behaviour that will help you take action in your life.

Hatua za kukuwezesha kufikia hatima yako Na. 7: Una tabia gani?

Tito 2:3 Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wafundishao mema. Ukiwa na mazoea fulani baada ya muda yanatengeneza tabia. Unatakiwa kuwa na tabia nzuri ya kuambukiza watu wengine. Biblia inasema tuige imani baada ya kuona mwenendo wa watumishi. Waebrania 13:7 “Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.” Tabia mojawapo ni ya kujali muda. Ukijali muda unaweza kufanya mambo mengi zaidi kwa siku moja. Lazima uwe na muda wa mwisho wa kumaliza kazi zako (dead line). Tafuta kuwa na tabia ambazo zitakusaidia upige hatua katika maisha yako.

Kwa uwezeshaji wa warsha, tafadhali kuwa huru kuwasiliana nami (For workshop facilitation feel free to contact me):

Dr Lawi Mshana, +255712924234 Tanzania