Ticker

6/recent/ticker-posts

HATUINGII MBINGUNI KWA NEEMA (Video)

HATUINGII MBINGUNI KWA NEEMA (Bofya hapa uangalie video)

HATUINGII MBINGUNI KWA NEEMA
Unajua kazi ya neema ya Mungu kwako? Unajua unaweza kuwa muumini na bado ukashindwa kuingia katika raha ile? Fuatilia ujumbe huu ili ujue vigezo muhimu.
Waebrania 4:11 "Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi."
Waebrania 4:1 "Basi, ikiwa ikaliko ahadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa."
Dr Lawi Mshana, 0712-924234