Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 1: Mafanikio yako yanategemea uchaguzi unaoufanya



 Maisha bora Na 1: Mafanikio yako yanategemea uchaguzi unaoufanya

Mungu alipokuumba alikupa uwezo wa kufanya uchaguzi wa aina ya maisha unayotaka. Kamwe haingilii maamuzi yako. Usipoutumia vizuri uwezo huo unaweza kuishi maisha magumu na kumlaumu Mungu kwa matatizo yako mwenyewe. Hushindwi kufanya lolote unalotaka. Hata hivyo, lazima uwe tayari kulipa gharama ya matokeo ya maamuzi yako unayoyafanya.

Kum 30:19 “Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako.”

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania