Ticker

6/recent/ticker-posts

Godly Ways to Get Money for Ministry and Business No. 3: Love your ministry and work (Njia za ki-Mungu za kupata fedha za huduma na biashara Na 3: Penda huduma na kazi yako)

Video link: Na 3: Penda huduma na kazi yako

Godly Ways to Get Money for Ministry and Business No. 3: Love your ministry and work (Njia za ki-Mungu za kupata fedha za huduma na biashara Na 3: Penda huduma na kazi yako)

Deut. 28:47,48 “Because you did not serve the Lord your God with joy and a thankful heart for the abundance of all things, you will serve your enemies whom the Lord will send against you, in hunger, thirst, nakedness, and want of all things; and he will put a yoke of iron on your neck, until he has destroyed you.” Serve God with joy. Learn to love the ministry and work you do. If you do not do so, you will not receive blessings. Give your offering with a cheerful heart. If you are not willing to serve God, you will serve the enemies that God will bring. God looks at the heart before the ministry you do. God does not need money but needs your cheerful heart.

Njia za ki-Mungu za kupata fedha za huduma na biashara Na 3: Penda huduma na kazi yako

Kum 28:47,48 kwa kuwa hukumtumikia Bwana, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote; kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta Bwana juu yako, kwa njaa, na kwa kiu, na kwa uchi, na kwa uhitaji wa vitu vyote; naye atakuvika kongwa la chuma shingoni mwako, hata atakapokwisha kukuangamiza.”. Mtumikie Mungu kwa furaha. Penda huduma na kazi unayofanya. Usipofanya hivyo hutapata baraka. Toa sadaka yako kwa moyo mkunjufu. Ukijilazimisha, utawatumikia adui utakaoletewa na Mungu. Mungu anaangalia moyo kabla ya huduma unayofanya. Mungu hana shida ya pesa bali anahitaji moyo wako wa furaha.

Dr Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania