Ticker

6/recent/ticker-posts

May God bless all stakeholders who donate properties for the underprivileged (Mungu awabariki wadau wote mnaochangia kwa ajili ya wasiojiweza)

May God bless all stakeholders who donate properties for the underprivileged (Mungu awabariki wadau wote mnaochangia kwa ajili ya wasiojiweza)

We are grouping the clothes and shoes that stakeholders donated when we mobilized them. We distribute these clothes and shoes to the most vulnerable after identifying them in collaboration with government and community leaders.

We warmly welcome you this year to partner with us by donating properties that are still valuable but not currently being used. You will receive a reward from God.

Mungu awabariki wadau wote mnaochangia kwa ajili ya wasiojiweza

Leo tumekuwa na kazi ya uchambuzi wa nguo na viatu ambavyo wadau walijitolea tulipowashirikisha. Tunagawa nguo hizi kwa watu wanaoishi mazingira hatarishi baada ya kuwatambua tukishirikiana na viongozi wa serikali na jamii.

Karibu sana mwaka huu uchangie kitu chochote ambacho bado kina thamani lakini hukitumii. Utapata thawabu kwa Mungu.

Dr Lawi Mshana, Beyond Four Walls, Tanzania, +255712924234