Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatua za kukuwezesha kufikia hatima yako Na. 5: Unafanya nini? (Steps to achieve your destiny No. 5: What are you doing?)

Video link: Na. 5: Unafanya nini?

Hatua za kukuwezesha kufikia hatima yako Na. 5: Unafanya nini? (Steps to achieve your destiny No. 5: What are you doing?)

James 2:17 “So also faith, if it has no works, is dead in itself.” Some people have only verbal faith without putting it into practice. What are you doing right now to help you get where you want to go? If your faith has no works, you are no different from the devil, who believes and trembles but has failed to do the will of God. James 2:19 “You believe that God is one; you do well. The demons also believe and tremble.”

Hatua za kukuwezesha kufikia hatima yako Na. 5: Unafanya nini?

Yak 2:17 Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake. Kuna watu wana imani ya maneno tu bila kuifanyia kazi. Mambo gani unayafanya sasa hivi ya kukusaidia kufika unapotaka kwenda. Kama imani yako haina matendo, huna tofauti na shetani kwa vile anaamini na kutetemeka lakini ameshindwa kutenda mapenzi ya Mungu. Yakobo 2:19 “Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.”

Kwa uwezeshaji wa warsha, tafadhali kuwa huru kuwasiliana nami (For workshop facilitation feel free to contact me):

Dr Lawi Mshana, +255712924234 Tanzania