Ticker

6/recent/ticker-posts

Mkutano wa Mwaka wa BFW (BFW Annual General Meeting)



Mkutano wa Mwaka wa BFW

Tunashukuru kwa ushiriki wa viongozi na wajumbe wa mkutano wa mwaka wa Beyond Four Walls kwenye makao makuu ya shirika Bagamoyo, Korogwe mjini.

Tunakukaribisha katika utekelezaji wa mipango yetu ya kujengea uwezo jamii kwa mwaka huu.

BFW Annual General Meeting

We are grateful for the participation of leaders and delegates at the Beyond Four Walls Annual Meeting held at the NGO's headquarters in Bagamoyo, Korogwe town.

We welcome you to the implementation of our community empowerment plans for this year.


Dr Lawi Mshana, Executive Director, BFW, +255712924234, Tanzania