SUNDAY SCHOOL TEACHER TRAINING AND BOOKLETS AND GUIDELINES (MAFUNZO YA WALIMU WA SUNDAY SCHOOL NA VITABU NA MIONGOZO)
Sunday school teacher training from the UK is about to be offered in Tanzanian churches. Students will be trained for four consecutive Saturdays from 3am to 9pm or for 4 consecutive days. Students will learn in depth and practically how to use this curriculum for different ages (0-4, 5-7, 8-10, 11-13, 14 and above) and will then be awarded a certificate. Student booklets and teacher guidelines in Swahili will also be available.
This training is provided without any denominational discrimination.
You are warmly welcome to instill spiritual values in our children who are facing many challenges of globalization.
For churches in need, call +255 712-924234.
MAFUNZO YA WALIMU WA SUNDAY SCHOOL NA VITABU NA MIONGOZO
Mafunzo ya walimu wa Sunday school kutoka Uingereza yanaanza kutolewa katika makanisa ya Tanzania. Wanafunzi watafundishwa kwa Jumamosi nne mfululizo kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri au kwa siku 4 mfululizo. Wanafunzi watajifunza kwa kina na kwa vitendo jinsi ya kuutumia mtaala huu wa marika tofauti (miaka 0-4, 5-7, 8-10, 11-13, 14 na kuendelea) na kisha watapatiwa cheti. Vitabu vya wanafunzi na miongozo ya walimu kwa lugha ya Kiswahili vitapatikana pia.
Mafunzo haya yanatolewa bila ubaguzi wowote wa kimadhehebu.
Karibu sana tuwekeze maadili ya kiroho kwa watoto wetu wanaokabiliwa na changamoto nyingi za utandawazi.
Kwa makanisa yenye uhitaji piga simu namba 0712-924234.


