Ticker

6/recent/ticker-posts

Tumeanza tathmini ya awali - Jijini Dodoma




 TUMEANZA TATHMINI YA AWALI

Tumepokelewa vizuri na viongozi wa serikali hapa jijini Dodoma kwa ajili ya kutambulisha mpango wa kufanya tathmini ya awali (needs assessment). Lengo lake ni kutambua huduma gani zinahitajika katika maeneo haya na ni kwa kiwango gani. Tunashukuru kwa kupewa kibali na serikali kwa ajili ya shughuli hii muhimu kwa maendeleo ya jamii.
Dr Lawi Mshana, Mkurugenzi Mtendaji, Beyond Four Walls