BARIKIWA KWA UTOAJI WAKO KWA AJILI YA WANAOISHI MAZINGIRA HATARISHI
Nashukuru kwa msaada wa nguo tuliopokea kutoka kwa dada wa
Dar es salaam. Mungu hawezi kamwe kusahau moyo wako kwa ajili ya wahitaji. Ni
muhimu kuwekeza kwa ajili ya maisha yetu yajayo na kutambua kwamba hata kama
tuna mahitaji kuna watu wana mahitaji makubwa kuliko ya kwetu.
Beyond Four Walls tunajenga uwezo wa jamii ishinde
uhatarishi, utegemeziz na umaskini kwa kutumia mbinu shirikishi.
0712-924234, Korogwe, Tanga.


