Kanuni ya Mafanikio Na 2: Kutoa na kupokea
(kutoa zaka peke
yake hakusababishi baraka)
Kuna kanuni inayoitwa “Kutoa na Kupokea” au “Kupanda na
Kuvuna”. Kanuni hii iko nje ya kanuni ya kutoa zaka. Kutoa zaka kunakusaidia
kufungua madirisha na kukemea walaji wasio rasmi.
Lakini pia upandaji au utoaji huu sio kanisani peke yake
bali kupanda pia katika maisha ya watu.
Dkt. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public
Speaker, +255712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania