Today we received
clothes for our program to reach marginalized groups.
God will bless these two families by donating clothes and handbags to support the needy. We also appreciate the efforts made by our partners in marketing our vision to their friends and relatives.
As you purchase new clothes for celebrations, remember to donate the unused clothes stored in your closets. Your generous giving can touch the life of someone somewhere.
We welcome you to partner with us to reach the community using your resources. We need clothes, shoes, furniture, transport, computers, lending your properties or space, funds, skills, and experiences.
You can request and fill out a volunteer application form to work with us in 2025.
Warmly welcome.
Dr. Lawi Mshana, Beyond Four Walls (NGO), +255712924234, Korogwe, Tanga,
Tanzania
Barikiwa
kwa kuunga mkono juhudi zetu za kuwafikia wanaoishi mazingira hatarishi (English
version follows)
Leo tumepokea msaada wa nguo kwa ajili ya mpango wetu wa
kuyafikia makundi maalum.
Mungu azibariki hizi familia mbili kwa kutoa nguo zao na mikoba
kwa ajili ya kuwagusa wahitaji. Lakini pia tunatambua juhudi za wadau wanaotangaza
maono yetu kwa marafiki zao na ndugu zao.
Wakati tukishona au kununua nguo mpya kwa ajili ya
sikukuu, tuna nguo nyingi nzuri tu ambazo tuna muda mrefu hatujazivaa. Ukarimu
wako unaweza kugusa maisha ya mtu fulani mahali fulani.
Hata wewe unaweza kuwa rafiki wa maono yetu ya kuifikia
jamii kwa kutumia raslimali ulizo nazo. Huduma hii ina mahitaji ya nguo, viatu,
fanicha, usafiri, kompyuta, kutuazima vitu vyako au eneo lako, fedha, ujuzi na
uzoefu.
Unaweza kuomba na kujaza fomu ya kujitolea kushirikiana
na sisi kwa mwaka 2025.
Karibu sana.
Dr. Lawi Mshana, 0712-924234, Korogwe, Tanga, Tanzania.