Mafanikio ya mcha Mungu ni tofauti na mafanikio yanayotegemea bidii peke yake na uchawi.
Mungu ameweka kanuni zake.
Baadhi ya watu hawajaelewa vizuri kanuni hii ya kutoa zaka. Tunatakiwa kutanguliza zaka (10%) kabla ya kutumia baraka tunazopata. Mungu anajali HESHIMA na sio kutoa peke yake.
Lakini pia tujitahidi kutoa zaka ya baraka zote tunazopata na sio pesa peke yake. Vinginevyo tutakuwa na maeneo ambayo hayana baraka za Mungu. Kumbuka Neno la Mungu linasema TOENI ZAKA KAMILI na sio tu TOENI ZAKA.
Dkt. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania