Maisha bora Na 27: Do you know the effects of being equipped to be an academic and forgetting to be a good wife or husband? (Unajua madhara ya kuandaliwa kuwa msomi na kusahau kuwa mke au mume mzuri?)
An academic woman married a man and their wedding was very expensive but she didn't know how to cook. The husband had to send her back to his in-laws to be taught how to cook. So, they had to pay for her cooking course and then return her to her husband. This happens because we only care about formal education and forget moral life.
Kuna msomi aliolewa kwa harusi kubwa na kumbe hajui kupika. Ilibidi mume amrudishe kwao afundishwe kupika. Kwa hiyo ilibidi wazazi wake mlipie kozi ya mapishi ndipo wakamrudisha kwa mumewe. Hii inatokana na kujali zaidi kuandaa watoto kupata elimu rasmi na kusahau kuwaandaa kimaadili.
Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
Tunasaidia watoto, vijana na watu wanaoishi mazingira hatarishi - nguo, mafunzo, malezi.
Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok na Youtube. Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na watumishi mbalimbali. Through this platform (www.lawimshana.com), you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically and connected to other online platforms such as Facebook, TikTok, and YouTube. God has called Dr. Lawi Mshana to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio. The main beneficiaries are leaders, entrepreneurs, couples, young people, and the most vulnerable. He works closely with his wife and other development partners.