Ticker

6/recent/ticker-posts

POSITIVE LEADERSHIP (UONGOZI WENYE MATOKEO CHANYA)

 

Video link: UONGOZI WENYE MATOKEO CHANYA

POSITIVE LEADERSHIP (UONGOZI WENYE MATOKEO CHANYA)

Leadership is making things happen by motivating people. A leader has the power and responsibility to help achieve common goals without force.

Types of people in the world:

1. Those who don't know what's happening.

2. Those who watch what's happening.

3. Those who make things happen (leaders).

Characteristics of great leaders:

1. They know where they're going

2. They know how to attract people to go with them

The end of your learning is your end of leading.

UONGOZI WENYE MATOKEO CHANYA

Uongozi ni kusababisha mambo yatokee kwa kuwahamasisha watu. Kiongozi ni mtu ambaye ana uwezo na wajibu kwa ajili ya kusaidia katika kufikia malengo ya pamoja bila kutumia nguvu.

Aina za watu duniani:

1. Wasiojua kinachotokea.

2. Wanaotazama kinachotokea.

3. Wanaosababisha mambo yatokee (viongozi).

Sifa za viongozi wakuu:

1. Wanajua wanakwenda wapi

2. Wanajua jinsi ya kuwavutia watu kwenda pamoja nao

Mwisho wa kujifunza kwako ndio mwisho wako wa kuongoza.

Dr. Lawi Mshana, Facilitator & Trainer, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments