Ticker

6/recent/ticker-posts

Download free Gospel songs and teachings (Pakua bure nyimbo za Injili na mafundisho)


 Video link: Download bure nyimbo za Injili na mafundisho

Download free Gospel songs and teachings

(Pakua bure nyimbo za Injili na mafundisho)

You can now download my wife's Gospel songs and my live teachings for free in audio format (MP3).

The goal is to help you listen while doing other tasks such as cooking, driving, etc.

But also to help those with feature phones that cannot be used in my video streaming.

You must have a Gmail account to download for free. 

We permit you to give those downloads to your friends as long as you do not sell them.

Pakua bure nyimbo za Injili na mafundisho

Kwa sasa unaweza kupakua bure nyimbo za Injili za mke wangu na mafundisho ninayotoa mbashara yakiwa katika mfumo wa audio (MP3).

Lengo ni kukusaidia uweze kusikiliza ukiwa unafanya kazi zingine kama vile kupika, kuendesha gari nk.

Lakini pia ni kwa ajili ya kuwasaidia wenye simu ndogo ambazo haziwezi kutumika katika mafundisho ninayotoa mbashara mtandaoni.

Unatakiwa kuwa na akaunti ya Gmail ili uweze kudownload bure.

Unaruhusiwa kuwapatia wengine ili mradi usiwauzie.

Dr. Lawi Mshana, Facilitator & Trainer, 0712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments