Ticker

6/recent/ticker-posts

INVITATION TO SUPPORT VULNERABLE AND MARGINALIZED PEOPLE (MWALIKO WA KUSAIDIA WATU WANAOISHI MAZINGIRA HATARISHI)

Video link: MWALIKO WA KUSAIDIA WATU WANAOISHI MAZINGIRA HATARISHI

INVITATION TO SUPPORT VULNERABLE AND MARGINALIZED PEOPLE

(MWALIKO WA KUSAIDIA WATU WANAOISHI MAZINGIRA HATARISHI)

Last year, we initiated a program to assist individuals residing in high-risk environments by utilizing resources we currently do not utilize. In our homes, we have many valuable things, but we do not use them. For many years, we have been receiving second-hand goods from the United States and Europe because they have this program. When we distribute this aid, we collaborate with the government and the community in identifying deserving beneficiaries. Recently, I was invited by a Non-governmental organization to go to Dar es Salaam to teach pastors and sheikhs about gender-based violence. While there, I contacted people who promised to support our vision and were looking for a way to send their in-kind donation. So they handed me their donation for the community. (See photo)

I want to call on you, who also want to serve God in this way, and who have things that can be used to help society.

Please contact us today. I believe God has brought us here on earth to help the weak, and there is a great reward for doing so. You are very welcome.

MWALIKO WA KUSAIDIA WATU WANAOISHI MAZINGIRA HATARISHI

Mwaka juzi tulianzisha mpango wa kusaidia watu wanaoishi mazingira hatarishi kwa kutumia vitu mbalimbali tulivyo navyo ambavyo kwa sasa hatuvitumii. Katika nyumba zetu tuna vitu vingi ambavyo vina thamani ila hatuvitumii. Kwa miaka mingi tumekuwa tukipokea mitumba kutoka Marekani na Ulaya kwa vile wana mpango huu. Tunapogawa misaada hii tunashirikiana na serikali na jamii katika kuwatambua walengwa wanaostahili. Hivi karibuni nilialikwa na shirika fulani kwenda Dar kufundisha wachungaji na mashehe masuala ya ukatili wa kijinsia. Nikiwa huko niliwasiliana na watu ambao waliahidi kutuunga mkono wakawa wanatafuta namna ya kutuma msaada wao. Hivyo wakanipatia nikaja na msaada wao. (Angalia picha)

Napenda kutoa wito kwako pia unayependa kumtumikia Mungu kwa njia hii na ambaye una vitu ambavyo vinaweza kutumika katika kusaidia jamii. Wasiliana nasi leo. Naamini Mungu ametuweka hapa duniani ili tuwaguse pia wanyonge na kuna thawabu kubwa kwa kufanya hivyo. Karibu sana.

Dr. Lawi Mshana, Executive Director, Beyond Four Walls, +255-712924234, Tanzania