Ticker

6/recent/ticker-posts

No. 8. The finished work of Christ (Kazi aliyomaliza Kristo msalabani) – Online Conference

Video link: Na. 8. Kazi aliyomaliza Kristo msalabani

No. 8. The finished work of Christ (Kazi aliyomaliza Kristo msalabani) – Online Conference

We are His workmanship. We are skillfully created for God. Eph 2:10 “(For we are His workmanship, created in Christ Jesus to do good works, which God prepared beforehand that we should walk in them.)” We were not created for our plans alone. We are wonderfully created for God’s work. God wants each of us to be a certain kind of person for Him. We must realize that we do not live for ourselves but for God. We are to reflect His love to people by being His hands and feet and sharing the Good News of His grace with people.

Kazi aliyomaliza Kristo msalabani

Sisi tu kazi yake. Tumeumbwa kwa umahiri kwa ajili ya Mungu. Efe 2:10 “(Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.)” Hatukuumbwa kwa ajili ya mipango yetu peke yake. Tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu kwa ajili ya kazi ya Mungu. Mungu anataka kila mmoja wetu awe mtu wa aina fulani kwa ajili Yake. Tunapaswa kutambua kwamba hatuishi kwa ajili yetu wenyewe bali kwa ajili ya Mungu. Tunatakiwa kuonyesha upendo wake kwa watu kwa kuwa mikono yake na miguu yake na kushirikisha Habari Njema za neema Yake kwa watu.

Dr. Lawi Mshana, Facilitator and Public Speaker, +255712924234, Tanzania