No. 13. The finished work of Christ (Kazi aliyomaliza Kristo msalabani) – Online Conference
Jesus brought physical healing. Isaiah 53:5 “But he was wounded for our transgressions, he was bruised for our iniquities; the chastisement of our peace was upon him, and with his stripes we are healed.” When we confess healing with our mouths, we make it a physical reality. Many people who are physically sick do not realize that the cause may be a mental or spiritual illness. Therefore, they need spiritual and emotional healing before physical healing. Some people have stomach ulcers because their marriages have broken down.
Kazi aliyomaliza Kristo msalabani
Yesu alileta uponyaji wa mwili. Isaya 53:5 “Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.” Tukikiri uponyaji kwa vinywa vyetu, tunasababisha uwe halisi kimwili. Watu wengi wanaoumwa miili hawajui kwamba inawezekana chanzo ni ugonjwa wa kihisi au kiroho. Hivyo wanahitaji uponyaji wa kiroho na kihisia kabla ya uponyaji wa kimwili. Kuna watu wana vidonda vya tumbo kwa vile ndoa zao zimevunjika.
Dr. Lawi Mshana, Facilitator and Public Speaker, +255712924234, Tanzania