Ticker

6/recent/ticker-posts

Gifts and Thanks (Zawadi na Shukrani) – 31st Anniversary of TLMC, Korogwe


 Video link: Zawadi na Shukrani

Gifts and Thanks (Zawadi na Shukrani) – 31st Anniversary of TLMC, Korogwe

We would like to thank all those who gave their time, collaborated with us, and gifted us. We were delighted. We give God the glory for all that has happened because it is He who made it possible.

Zawadi na Shukrani

Tunapenda kuwashukuru wote waliotoa muda wao wakashirikiana nasi na kutuzawadia. Tumefarijika sana. Tunampa Mungu utukufu kwa yote yaliyotendeka kwa vile ni Yeye aliwezesha.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania