Business or Project Startup No. 1: Knowledge and guidance (Uanzishaji wa shughuli au mradi Na 1: Ujuzi na mwongozo wake)
Make sure you understand the business you want to do. Know it and get its guidance. If you do that, you will be able to know its challenges and how to address them. Ask God as well as experts. Without sufficient knowledge of your business, you will not go far.
Uanzishaji wa shughuli au mradi Na 1: Ujuzi na mwongozo wake
Hakikisha unaielewa vizuri shughuli unayotaka kuifanya. Ijue na kupata mwongozo wake. Ukifanya hivyo utaweza kujua changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo. Muulize Mungu pamoja na kuwauliza wataalamu. Bila kuwa na elimu ya kutosha ya shughuli unayoifanya hutaweza kwenda mbali.
Dr Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania


