Ticker

6/recent/ticker-posts

Godly Ways to Get Money for Ministry and Business No. 6: Lead in giving to God (Njia za ki-Mungu za kupata fedha za huduma na biashara Na 6: Ongoza katika utoaji kwa Mungu)


 Video link: Na 6: Ongoza katika utoaji

Godly Ways to Get Money for Ministry and Business No. 6: Lead in giving to God

(Njia za ki-Mungu za kupata fedha za huduma na biashara Na 6: Ongoza katika utoaji kwa Mungu)

1 Chronicles 29:3 “And I, because I have set my heart on the house of my God, and have of mine own treasure of gold and silver, I have given to the house of my God, over and above the treasure that I have prepared for the holy house.” Learn to be an example in your giving. Let others learn from you. Invest your valuable things in the kingdom of God. See the needs of God’s work and commit to contributing financially.

Njia za ki-Mungu za kupata fedha za huduma na biashara Na 6: Ongoza katika utoaji kwa Mungu

1 Nya 29:3 Nami tena kwa kuwa nimeiwekea nyumba ya Mungu wangu shauku yangu, nami ninayo hazina yangu mwenyewe ya dhahabu na fedha, naitoa kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu, zaidi ya hiyo akiba niliyoiwekea tayari nyumba takatifu. Jifunze kuwa mfano wa kuigwa katika utoaji wako. Watu wengine wajifunze kwako. Wekeza vitu vya maana katika ufalme wa Mungu. Ona mahitaji ya kazi ya Mungu na kujitolea kuchangia kifedha.

Dr Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania