Bible Educational Services (BES) ni shirika linalotoa mafunzo ya Wakati na Biblia, Maisha Mapya na Wakusanyaji. Vitabu vya Wakati na Biblia vina hadithi za Biblia na mafundisho kutoka katika Agano la Kale na Agano Jipya. Wanafunzi wanafurahia mazoezi ya Biblia kibinafsi au kwa vikundi. BES & Washirika wao wanawasaidia wasomaji kuchunguza na kutafakari vifungu vya Biblia kwa kina.
Watoto wanajifunza kwa marika
1. Daraja la 0: Maswali rahisi na kupaka rangi. Umri chini ya miaka 5
2. Daraja la 1: Hadithi za Biblia, kupaka rangi, mafumbo, na maswali. Umri wa miaka 5-7
3. Daraja la 2: Hadithi za kina zaidi za Biblia na kazi zilizo na Mstari Muhimu wa kujifunza. Umri wa miaka 8-10
4. Daraja la 3: Usomaji wa kina wa Biblia, maswali na shughuli zenye Mistari Muhimu ya kujifunza. Umri wa miaka 11-13
5. Daraja la 4: Usomaji wa kina zaidi wa Biblia na shughuli zingine zenye Mistari Muhimu ya kujifunza. Umri wa kuanzia miaka 14.
Mafunzo ya BES
BES inaweza kukupatia mafunzo na usaidizi BILA MALIPO kwa ajili yako na walimu wako. BES inalenga kuhakikisha kwamba washirika wanaelewa jinsi Wakati na Biblia inavyoweza kutayarishwa na kutumiwa ipasavyo katika muktadha wao ili kufikisha Habari Njema kuhusu Yesu kwa watoto na vijana.
BES wameunda moduli za kujifunza mtandaoni ambazo zinaweza kufikiwa kupitia Mfumo wao wa Kusimamia Mafunzo. Unaweza kufanyia kazi moduli hizo kwa wakati wako na kurejelea tena baadaye. Mafunzo ya Bespoke pia yanapatikana na yametengenezwa ili kukidhi mahitaji yako na ya walimu wa eneo lako. Mafunzo hufanyika mara kwa mara kupitia Zoom na wakati mwingine kwa ana kwa ana.
Ili kujisajili andika barua pepe uitume kwenye anuani hii: training@besweb.com
Dhima ya BES: Inaandaa masomo ya Biblia kwa ajili ya kuwasilisha ukweli wa Yesu Kristo kwa kizazi kijacho duniani kote.
Dira ya BES: Kufikia kizazi kijacho kwa kutumia mtaala wetu kamili katika lugha yao wenyewe kwa kuandaa na kusaidia mtandao wa kimataifa wa washirika wanaojitolea (valantia).
Jinsi ya kuunga mkono
Ili kupata maelezo zaidi na Habari za kawaida za BES (zinazochapishwa mara mbili kwa mwaka) au kusaidia BES kifedha, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia mawasiliano haya hapa chini.
www.besweb.com
Kwa ajili ya vitabu kwa lugha ya Kiswahili wasiliana nami:
Dr Lawi Mshana
S.L.P 554, Korogwe, Tanga, Tanzania
Simu/Wasap: +255712924234
Are you struggling to teach the word of God to children of different ages?
Bible Educational Services (BES) produces Bibletime, Going Deeper, and Gleaners. The Bibletime resources contain Bible stories and teaching from both the Old and New Testaments. The fun-filled monthly activity sheets help learners engage with the Bible either individually or in a group setting. BES & Friends feature in some of the Bibletime material and help the reader to pause, question, and reflect on a Bible passage or key concept.
Level 0: Simple questions and colouring. Age under 5 years
Level 1: Bible stories, colouring, puzzles, and questions. Ages 5-7 years
Level 2: More advanced Bible stories and tasks with Key Verses to learn. Ages 8-10 years
Level 3: Deeper level Bible readings, questions, and activities with Key Verses to learn. Ages 11-13 years
Level 4: These can really help you learn a lot more from your Bible. Ages 14-16 years
BES Training
BES can provide FREE training and support for you and your teachers. BES aims to ensure that partners understand how Bibletime can be produced and used effectively within their context to reach children and young people with the Good News about Jesus.
BES has developed online learning modules that are accessed through their Learning Management System. The modules can be completed in your own time and revisited later. Bespoke training is also available and is developed to meet the needs of you and your local teachers. Training is regularly completed over Zoom and occasionally in person.
To sign up, email: training@besweb.com
BES Mission: Producing Bible lessons for intermediaries to present the truth of Jesus Christ to the next generation worldwide.
BES Vision: To reach the next generation with our full curriculum in their own language by developing and supporting a global network of committed partners.
How to support
To obtain further information and regular BES News (published twice per year) or to support BES financially, please contact us using the details listed below.
www.besweb.com
facebook@bibleeducationalservices
BES Office
37 Belmore Street, Enniskillen, Northern Ireland. BT74 6AA
Registered Charity: England & Wales CIO 1186004
Bible lessons for children in many languages, available free of charge from our website: www.besweb.com


