Gospel Crusade in Msemembo Manyoni (Mkutano wa Injili Msemembo Manyoni)
Day 1: Kwanini matatizo yako yanajirudia?
Day 2: Yesu anavyoweza kukujibu
Day 3: Kwanini maisha ni magumu wakati wengine wakineemeka?
Day 4: Imani yako inakusaidia nini?
Day 5: Mungu hana njia moja
Day 6: Unateswa na ngome na sio jaribu
Mhubiri: Dr Lawi Mshana; Mwenyeji: Mchg Andrea Ntandu, FPCT
Tunasaidia watoto, vijana na watu wanaoishi mazingira hatarishi - nguo, mafunzo, malezi.
Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok na Youtube. Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na watumishi mbalimbali. Through this platform (www.lawimshana.com), you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically and connected to other online platforms such as Facebook, TikTok, and YouTube. God has called Dr. Lawi Mshana to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio. The main beneficiaries are leaders, entrepreneurs, couples, young people, and the most vulnerable. He works closely with his wife and other development partners.