Ticker

6/recent/ticker-posts

Utambulisho rasmi wa Beyond Four Walls kwa viongozi wa serikali




 Leo tumepata fursa ya pekee kutembelewa na viongozi wa serikali kwa ajili ya kutambulisha ofisi na dira ya shirika letu la Beyond Four Walls. Ukiacha ofisi yetu kuu, sasa tuna ofisi nyingine mpya ya kujengea uwezo vijana na wazazi/walezi iliyoko chumba namba 84 katika stendi kuu ya mabasi Kilole Korogwe.