Ticker

6/recent/ticker-posts

HUJIBIWI KWAVILE HUJUI CHANZO HALISI CHA SHIDA ZAKO (Video)

HUJIBIWI KWAVILE HUJUI CHANZO HALISI CHA SHIDA ZAKO (Video)

Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu wanapata pesa vizuri lakini hawana maendeleo? Unajua mtu anaweza kupoteza muda akitibu DALILI badala ya TATIZO lake halisi? Fuatilia ujumbe huu na kuufanyia kazi.

Pia SHARE ujumbe huu kwa wengine na ku-FOLLOW ukurasa huu kwa ajili ya kujengewa uwezo.

Lawi Mshana, +255712-924234